Wasanii mahiri kutoka Tanzania, Hamadai kwa kushirikiana na mchekeshaji na msanii mwenye ushawishi mkubwa, Whozu, wameachia rasmi wimbo wao mpya unaokwenda kwa jina la "Deka" – na ni moto wa
Msanii maarufu kutoka Kigoma, Centano, amerudi tena kwa kishindo kupitia wimbo wake mpya unaoitwa “Nimechelewa”. Wimbo huu umeteka hisia za mashabiki kwa ujumbe mzito wa mapenzi na maneno ya ukweli