Mwigizaji na msanii mahiri wa Bongo Fleva, Mbosso, ameachia rasmi EP yake mpya iitwayo Room Number Three, ikiwa na vibao saba vya nguvu – na tayari mashabiki wanaonyesha mapenzi makubwa
Mbosso EP mpya
Msanii mahiri wa Bongo Fleva, Mbosso, ametangaza rasmi ujio wa EP yake mpya inayokwenda kwa jina la Room Number 3. Hii ni kazi yake mpya ya muziki yenye ngoma saba
Msanii nyota wa Bongo Fleva na aliyekuwa chini ya lebo ya WCB Wasafi, Mbosso, amerudi kwa kishindo kupitia ujio wake mpya wa EP yenye jina RN3. Hii ni kazi ya