Picked
Mwigizaji na msanii mahiri wa Bongo Fleva, Mbosso, ameachia rasmi EP yake mpya iitwayo Room Number Three, ikiwa na vibao saba vya nguvu – na tayari mashabiki wanaonyesha mapenzi makubwa
Entertainment
Katika ziara ya kihistoria ya Mheshimiwa Rais Samia Suluhu Hassan mkoani Simiyu, msanii nyota wa Bongo Fleva, Harmonize, alitoa burudani ya aina yake iliyoacha mashabiki wakishangilia kwa furaha isiyoelezeka. Harmonize
Katika kile kinachoonekana kuwa ni uthibitisho wa muda mrefu uliokuwa ukisubiriwa na mashabiki, msanii nyota wa muziki wa Bongo Fleva, Zuchu, ameacha gumzo mitandaoni baada ya kuposti ujumbe wa kusisimua
Latest Articles
Msanii mashuhuri wa muziki nchini Kenya, Mr Seed, amewasisimua mashabiki wake kwa kuachia kibao kipya kinachokwenda kwa jina la "DaiDa". Wimbo huu, ambao umetayarishwa na mtayarishaji mahiri Mavo On The
Msanii maarufu wa Bongo Fleva, Lomodo, amerudi tena kwa kishindo na wimbo mpya unaoitwa “Kiuno” ambao tayari umeanza kuteka hisia za mashabiki wa muziki wa kizazi kipya. Wimbo huu mpya
Msanii machachari kutoka Tanzania, Aslam Tz, ameachia rasmi wimbo wake mpya uitwao “Habibty”, wimbo unaozungumzia safari yake kutoka kwenye maisha ya upweke hadi kumpata mpenzi wa kweli. Huu ni mwendelezo
Msanii mahiri wa Bongo Fleva, Mbosso, ametangaza rasmi ujio wa EP yake mpya inayokwenda kwa jina la Room Number 3. Hii ni kazi yake mpya ya muziki yenye ngoma saba
Welcome to Bongo Fame. Listen To Latest Music & Get Daily Entertainment news.
C.E.O