Msanii mahiri wa Bongo Fleva, Mbosso, ametangaza rasmi ujio wa EP yake mpya inayokwenda kwa jina la Room Number 3. Hii ni kazi yake mpya ya muziki yenye ngoma saba
Mwanamuziki maarufu wa Hip Hop kutoka Tanzania, P Mawenge, ameachia rasmi kazi yake mpya ya kisanaa inayokwenda kwa jina la "Tambo Za Viwango." EP hii ina jumla ya nyimbo 6