Tanzanian sensation and WCB signed artist Mbosso has once again graced fans with a soulful love ballad titled “Kupenda”. The song, brimming with heartfelt lyrics and a captivating melody, captures the beauty and complexity of love. Below are the lyrics to the song, arranged to enhance your reading and listening experience.
Kupenda – Lyrics
VERSE 1
Nilibisha, nilibisha
Mama alipo nambia
Ukipenda, jeuri kwisha
Leo nayashuhudia
Hayapiti madakika
Simu sijampigia
Yani sili kupitisha
Sauti nisipomsikia
CHORUS
Kama kupenda
Ndo huaga hivi
Mi mwenzenu, uchizi naugulia
Kama kupenda
Ndo huaga hivi
Mi mwenzenu, uchizi naugulia
VERSE 2
Oneni ona, macho tukitazamana
Ubaridi homa, aibu tumezidiana
Oneni ona, macho tukitazamana
Ubaridi homa, aibu tumezidiana
Kwako kijumbe fanani
Itangazie hadhira
Chuma changu kiko ndani
Nakinusuru madhira
Nyie wa barabarani
Waendesha katapira
Hii derby ya watani
Haina kutoka bila
CHORUS
Kama kupenda
Ndo huaga hivi
Mi mwenzenu, uchizi naugulia
Kama kupenda
Ndo huaga hivi
Mi mwenzenu, uchizi naugulia
Aaaah aah kama kupenda
Ndo huaga hivi
Mi mwenzenu, uchizi naugulia
Kama kupenda, ndo huaga hivi
(Wanipanda wazimu, wanipanda)
Mi mwenzenu, uchizi naugulia
(Mi mwenzenu, hali yangu mbaya)
About the Song
“Kupenda“ is a lyrical masterpiece that showcases Mbosso’s ability to weave emotions into his music. The song reflects the struggles, joys, and vulnerabilities that come with love. With its poetic verses and rhythmic flow, it’s a perfect serenade for lovebirds and a heartfelt reminder of the power of love.
Enjoy the song on below and let the lyrics take you on a journey of love and devotion.
Listen to Mbosso – Kupenda (Bongo Fame Exclusive)